Mwongozo wa kutahini Sarufi na Isimujamii

ebook Pamoja na Maswali ya Marudio · KCSE 102/2

By Newton Mawira

cover image of Mwongozo wa kutahini Sarufi na Isimujamii

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today
Libby_app_icon.svg

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

app-store-button-en.svg play-store-badge-en.svg
LibbyDevices.png

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Loading...

Mwongozo wa Kutahini Sarufi na Isimujamii ni kitabu kidogo ambacho kimeandikwa kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi kujitahini wao wenyewe.Maswali yamepangwa vizuri kwa kuangazia mbinu mbalimbali za kutahini zinazotumika katika karatasi ya pili ya mtihani wa kitaifa.

Kitabu hiki kitawafaa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi kidato cha nne.Wanafunzi wa kidato cha nne watafaidika sana wanapojitayarisha kuufanya mtihani wa kitaifa (KCSE: 102/2).

Walimu watakitumia kutunga maswali ya mitihani na kutayarisha mazoezi ya lugha darasani. Mwandishi ameshughulikia vipengele vyote vya matumizi ya lugha na isimujamii kulingana na silabasi ya Kiswahili.

Mwongozo wa kutahini Sarufi na Isimujamii