Densi Ya Mwezi

ebook Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha 1

By Amy Blankenship

cover image of Densi Ya Mwezi

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today
Libby_app_icon.svg

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

app-store-button-en.svg play-store-badge-en.svg
LibbyDevices.png

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Loading...

Devon ni chui, aliye na ukorofi kidogo na ni mmoja wa wamiliki wa Densi ya Mwezi. Ulimwengu wake unapinda kwenye mhimili wake wakati anapomuona msichana wa kuvutia mwenye nywele nyekundu akicheza kwenye sakafu ya densi, akiwa na moyo wa ubeuzi na kipiga shoti. Wakati vita vya wafyonza damu vikiwa vinaendelea, Devon aliapa kumfanya mwanamke huyu awe wake... na angepigana hadi kufa ili kumpata.

Maisha ya Envy yalikuwa mazuri. Kaka mzuri, mpenzi mzuri, na kazi bora zaidi msichana angeweza kufanya...mhudumu kwenye baa kwenye kilabu mashuhuri zaidi mjini. Angalu yalikuwa mazuri hadi alipopata simu kutoka kwa mmoja wa rafiki zake mzuri kuhusu mpenzi wake akicheza densi ya wima kwenye sakafu ya densi pale kwenye Densi ya Mwezi. Uamuzi wake wa kukabiliana naye ulianzisha msururu wa matukio ambayo yalimjulisha kwenye ulimwengu wa kimiujiza uliyokuwa umefichwa chini ya shughuli za kawaida za kila siku. Ulimwengu ambao binadamu wanaweza kugeuka kuwa chui, wafyonza damu kutembea mitaani, na malaika walioanguka kutembea kati yetu. Devon ni chui, aliye na ukorofi kidogo na ni mmoja wa wamiliki wa Densi ya Mwezi. Ulimwengu wake unapinda kwenye mhimili wake wakati anapomuona msichana wa kuvutia mwenye nywele nyekundu akicheza kwenye sakafu ya densi, akiwa na moyo wa ubeuzi na kipiga shoti. Wakati vita vya wafyonza damu vikiwa vinaendelea, Devon aliapa kumfanya mwanamke huyu awe wake... na angepigana hadi kufa ili kumpata.

Densi Ya Mwezi