Siri Kali

ebook

By James Kemoli Amata

cover image of Siri Kali

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Download Libby on the App Store Download Libby on Google Play

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Library Name Distance
Loading...

Shida Kwisha ana kisa, "Mrembo alinijulisha kuhusu mradi wa kuwekeza. Bila kuuliza maswali mengi niliingia. Nami niliwaambia watu wengi lakini ni wachache sana walionisikiliza. 'Mtu hana kitu, ni uwekezaji gani atakwambia na umsikilize?' watu walinichekelea."
Wale watu wa zamani walikuwa watu wa kawaida. Walikuwa maskini wakabadilika kiasi cha kuwa matajiri si wa kutajika tu bali wa kutisha. Walipataje utajiri? Swali hilo lilikuwa kero kwao kwa kuwa walitaka wao wawe matajiri peke yao. Kiini cha utajiri kilikuwa siri kali. Siri kali hiyo ndiyo aliyoipata mtu aliyetambua umaskini si kizalia. Akaitoa hiyo siri kali ya siri kali tano kwa watu ili kila mtu aweze kuwa tajiri. Siri kali ilikuwa, ni na itakuwa dawa ya mabadiliko. Ukiipata na uitumie utatajirika. Ukiipata lakini usiitumie utabaki maskini vivyo hivyo.

Siri Kali