Nguchiro Mwenye Maringo

ebook

By Lemi Matau

cover image of Nguchiro Mwenye Maringo

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Download Libby on the App Store Download Libby on Google Play

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Library Name Distance
Loading...

Malezi ya mtu huathiri tabia za mtu huyo. Chambilecho wahenga: mwana hutazama kisogo cha ninaye. Je, methali hii ina ufaafu wowote katika hadithi Nguchiro Mwenye Maringo? Hadithi hii ni ya kuchangamsha na kuzingua jamii. Inamhusu mwananguchiro - Kidiri. Kidiri anaiga tabia na mienendo ya wanyama wengine na hata kutaka kuishi kwa raha mustarehe kama binadamu. Jambo hilo linamfanya apate ajali ya barabarani na alazwe hospitalini. Je, kutokana na yeye kuiga wengine, atatoka na tabia gani hospitalini. Soma upate uhondo huo.

Nguchiro Mwenye Maringo