Sign up to save your library
With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.
Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Search for a digital library with this title
Title found at these libraries:
Library Name | Distance |
---|---|
Loading... |
Vijana wanapotoka shuleni hufanya nini? Swali hili linajibiwa vizuri na hadithi Mpira wa Kilo na wenzake. Mara kwa mara, vijana hukutana na kushiriki katika shughuli mbalimbali nzuri na mbaya. Hali hiyo si tofauti na jinsi ilivyo katika hadithi hii. Michezo huleta vijana pamoja na kuendeleza ushirikiano na
utangamano. Jisomee upate maarifa ya michezo yetu.