
Sign up to save your library
With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.
Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Search for a digital library with this title
Title found at these libraries:
Library Name | Distance |
---|---|
Loading... |
Kitabu hiki kilichoandikwa na Profesa Zacharias Tanee Fomum kinazungumzia njia ya wokovu, Kimelenga hasa:
Kusudi la mwanzo la Mungu katika uumbaji wa mwanadamu.
Dhambi ya mwanadamu na matokeo yake; sasa na milele.
Upendo wa Mungu usiolinganishwa uliojidhihirisha kupitia upendo wa Kristo uliomkomboa muasi msalabani.
Mwitikio wa mwenye dhambi kwa Mungu kupitia toba kwa Mungu na imani katika Yesu Kristo.
Maisha mapya ya ushindi ndani ya Kristo.
Soma kitabu hiki, ushuhudie kwa njia mpya upendo wa Mungu kwa ajili yako.
Mpatie kitabu hiki: rafiki yako, mwenza wako, wafanyakazi wenzako, majirani zako ili wakitambue, na watabarikiwa nacho.