Sign up to save your library
With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.
Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Search for a digital library with this title
Title found at these libraries:
Library Name | Distance |
---|---|
Loading... |
Hiki ni kitabu ambacho ni msaada mkubwa sana kwa waamini, kwani kinatoa funguo muhimu na kweli muhimu zitakazomsaidia mwamini kukua katika kumjua Mungu. Kimejawa na miongozo mingi yenye kufaa katika mazingira halisi na ya kimaandiko, inayohusu ukuaji wa kiroho wa mwamini. Masomo yaliyotajwa hapo chini yametazamwa kwa upana:
Nini maana ya kuokolewa
Umuhimu wa Neno la Mungu
Ubatizo wa maji, agizo
Maombi, kipaumbele
Umuhimu wa ushirika
Umuhimu wa neema ya Mungu
Ukombozi kutoka katika vifungo
Kujawa na Roho Mtakatifu
Inapendekezwa kwamba wachungaji, walimu, na viongozi wa kanisa wakitumie kitabu hiki. Kitabu hiki ni muhtsari wenye kujitosheleza kwa mada zenye kufaa ambazo zitajenga msingi mzuri kwa waamini. Pia, kitakupatia mpangilio mzuri wa muundo wa ufundishaji utakaokusaidia kuwafundisha na kuwafunza wale wote ambao Mungu amekupatia dhamana ya kuwalea.