Mwongozo wa Chozi la Heri

ebook Maswali na Majibu

By SHADRACK KIRIMI

cover image of Mwongozo wa Chozi la Heri

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today
Libby_app_icon.svg

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

app-store-button-en.svg play-store-badge-en.svg
LibbyDevices.png

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Loading...

Mwongozo huu umetayarishwa kimaksudi kwa lengo la kuwafaa wanafunzi na walimu katika uchambuzi wa vipengele mbalimbali riwaya ya Chozi la Heri. Vipengele hivi ni pamoja na ploti, dhamira, maudhui, mbinu za lugha, wahusika na uhusika wao. Ni mwongozo ambao unarahisisha uelewaji wa masuala yanayoonekana changamano na tata kwa kutoan msuko ulio sahili. Mwongozo huu ni wa kipekee kwa maana una maswali kadha ya kumchokonoa mwanafunzi. Isitoshe, maswali haya yametolewa majibu yenye hoja za kuridhisha. Majibu haya yanalenga hasa matarajio ya watahini na mitindo mipya ya kutahini ambapo unapata mwanafunzi anahitajika kuandika hoja kumi na nne kujibu swali moja. Kuna aina mbalimbali za maswali. Kuna yale ya dondoo, ya kujadili pamoja na yale ya kuthibitisha kauli ama usemi fulani kutoka kwenye riwaya. Kwa kifupi, huu ni mwongozo wa aina yake ambao haumwonjeshi tu msomaji asali bali unampa fursa ya kuchovya moja kwa moja ndani ya buyu lenyewe.

Mwongozo wa Chozi la Heri