
Sign up to save your library
With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.
Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Search for a digital library with this title
Title found at these libraries:
Library Name | Distance |
---|---|
Loading... |
Unajua unachohitaji ili uanze kufanya uwekezaji, kwakuwa hutoweza kuendelea kufanya kazi maisha yako yote. Bila shaka hutaki kuwa mfanyakazi mzee anayefanya kazi ya kupokea wageni katika moja ya maduka makubwa. Pia itakuwa inafadhaisha sana na kuhuzunisha ikiwa huna uhakika wa uchumi wako hapo siku za usoni. Mara nyingi muda uwa unakimbia kila unapozidi kuwa mtu mzima na hakuna kuchelewa linapokuja suala la kuanza.
Lakini kuanza ndilo linaweza kuwa tatizo lako kubwa. Kuna taarifa nyingi na pia kuna matapeli wengi ambao wanajaribu kukushawishi ufanye uwekezaji kwenye makampuni yasiyoeleweka. Pia huna muda wa kutosha wa kufuatilia kila kitu mwenyewe, kwakuwa inaelekea ni mambo magumu sana na yasiyoeleweka.
Hata hivyo, ukifanikiwa kushughulikia uwekezaji katika maisha, bila shaka maisha yako yataboreka kwa kiasi kikubwa. Utapata utulivu wa kiakili pale unapofikiria kuhusu maisha yako ya mbeleni na pia utakuwa na ujasiri wa kufanya maamuzi bora katika uwekezaji. Pia utakuwa na maarifa ya kuzungumza kisomi na rafiki zako pamoja na washauri wa kifedha, hivyo itakuwa rahisi kwako kung'amua haraka pale mtu anapokupatia taarifa zisizo sahihi.
Nitaanza na mambo ya msingi, kama nini maana ya hisa na ni jinsi gani masoko ya hisa hufanya kazi. Baada ya hapo nitahamia katika kueleza ni jinsi gani unavyoweza kutengeneza pesa kupitia masoko ya hisa, nitakupatia baadhi ya hisa ambazo hunabudi kuwa nazo kwenye orodha yako na baadhi ya taarifa za uongo na makosa utakayokutana nayo wewe kama mwekezaji.