Hatima ya Vibwengo 3
ebook ∣ Makaburi Yaliyosahaulika · The Fate of the Elves
By Peter Gotthardt

Sign up to save your library
With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.
Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Search for a digital library with this title
Title found at these libraries:
Library Name | Distance |
---|---|
Loading... |
Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Mahali fulani ndani sana kwenye mlima kuna fimbo takatifu ambayo inaweza kumzidi nguvu Mfalme mwenye Majivuno, ambaye ni adui mbaya zaidi wa Vibwengo. Lakini hakuna anayejua ilikofichwa. Je, Mkwamba na Rafiki zake wanaweza kuipata sehemu ilikofichwa kabla hawajachelewa?
Hiki ni kitabu cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya "Hatima ya Vibwengo." Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi Shupavu
Moyo wa Jabali
Makaburi Yaliyosahaulika
Filimbi ya Kichawi