Captain Kuro Kutoka Mihiri

ebook Captain Kuro From Mars African Languages, Swahili · Captain Kuro From Mars African Languages

By Nick Broadhurst

cover image of Captain Kuro Kutoka Mihiri

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today
Libby_app_icon.svg

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

app-store-button-en.svg play-store-badge-en.svg
LibbyDevices.png

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Loading...

This book is the Captain Kuro From Mars children's picture book in Swahili.

Kichwa: Captain Kuro Kutoka Mihiri
Mwandishi: Nick Broadhurst
Mchoraji: MD Hasib Uzzaman

Kapteni Kuro aliamka katika chombo chake cha angani. Hewa ilikuwa inavuja.
Rafiki yake Jaron hakuwapo.
Kuro alikimbilia sehemu ya kuponyokea, na kuweka kozi ya Dunia.

Saa moja baadaye, Kuro aliupita mwezi. Alikuwa ni mnyama mdogo kama paka wa Mihiri, na alijisikia vibaya, kama kulia. Alikuwa peke yake.

Kifaa cha kuponyokea cha Kuro kilikuja kupitia mawinguni, na kukwama kwenye mti.
Kuro aliangalia vitu vikubwa vya kutisha vya kijani vinavyotikisika nje. Akimeza mate, alifungua mlango, polepole.

Kiumbe kililia na kuruka angani, kikimshtua.
Kasuku kishungi alicheka, "Mimi ni Fobon. Huu ni mti wangu."
"Mti ni nyumba yako?" Aliuliza Kuro.

Captain Kuro Kutoka Mihiri