Wazo la Kiubunifu la Uambatanishaji wa Mali Isiyohamishika

ebook Uwakala wa Mali Isiyohamishika Ukirahishishwa

By Matthias Fiedler

cover image of Wazo la Kiubunifu la Uambatanishaji wa Mali Isiyohamishika

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today
Libby_app_icon.svg

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

app-store-button-en.svg play-store-badge-en.svg
LibbyDevices.png

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Loading...
Kitabu hiki kinaeleza wazo la kimageuzi la jukwaa (app) la uambatanishaji wa mali isiyohamishika duniani kote likipiga hesabu ya mauzo yanayowezekana (Dola Bilioni), ambalo limeshirikishwa kwenye programu ya wakala wa mali isiyohamishika likijumuisha tathmini ya mali isiyohamishika (uwezo wa mauzo ya Dola Trilioni).Hii yamaanisha kwamba mali isiyohamishika za kukodesha na ya nyumba za kibiashara, ama ambayo mmiliki anaishi ndani au iliyokodishwa, yaweza kufanyiwa uwakala ifaafyo na katika njia yenye kukomboa mda. Hii ndiyo siku za baadaye za uwakala wenye ubunifu na kiutaalamu wa mali isiyohamishika kwa maajenti wote wa mali isiyohamishika na wamiliki wa mali. Uambatanishaji wa mali isiyohamishika hufanyika nusra katika mataifa yote na hata kote katika mataifa.
Wazo la Kiubunifu la Uambatanishaji wa Mali Isiyohamishika