Kionjo cha Wivu

ebook

By James Kemoli Amata

cover image of Kionjo cha Wivu

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Download Libby on the App Store Download Libby on Google Play

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Library Name Distance
Loading...
KIONJO CHA WIVU ni diwani ya mashairi ya pindu. Mifano ya mikondo mbalimbali imetolewa kwa lengo la kumchochea mtafiti na mbunifu kueleza mikondo mingine ambayo katika hali ya kawaida itamtegemea mtunzi wa mashairi.Katika maisha ya watu kuna kupata na kukosa. Ukikosa, omba. Ukiomba, subiri.Kila mtu ana kile alichonacho. Wivu ni mbaya. Tusiwe watu wenye wivu ili tuishi kwa amani.James Kemoli Amata ni mwalimu mstaafu wa shule ya sekondari. Alifunza na kuwatayarisha watahiniwa wa (Christian Religious Education na) Kiswahili kwa miaka mingi. Kwa mujibu wa taaluma yake, ametunga vitabu kadha vya mashairi kikiwemo UANDISHI WA INSHA NA TUNGO NZURI, TAALUMA YA USHAIRI (akishirikiana na Kitula King'ei,), MASHAIRI RAHISI, KIONJO CHA UCHOKOZI, KIONJO CHA UNAFIKI, ....
Kionjo cha Wivu