Mpasuko

ebook

By Hassan Mambosasa

cover image of Mpasuko

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Download Libby on the App Store Download Libby on Google Play

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Library Name Distance
Loading...

Hali isiyo ya kawaida inatokea ndani ya EASA, baada ya majasusi wa wawili kuuana kwa mujibu wa taarifa zilizoletwa. Mmoja akiwa wa Tanzania na mwingine akiwa wa Kenya. Suala ambalo limetokea kwa namna uya utata sana, hata uchunguzi ulishindikana.

Kama inavyojulikana umoja wa Wakenya, wakiona mwenzao amekumbwa na hali fulani. Ndiyo ilipelekea uchunguzi kutofanyika, sababu wao walihitaji majibu na kueleza walishawasiliana na makao makuu ya Dodoma kutoa taarifa. Ila bado mwenzao alipoteza maisha.

Mgogoro ukatokea EASA ikagawanyika kati ya waliyounga mkono Nairobi na wa Dodoma. Pia kukawa na kundi ambalo halifungamani na pande hizo mbili, wao walibaki kuwa tayari kufanya kazi na yeyote ndani ya Afrika ya mashariki kama operesheni yake ilihusu ulinzi na usalama wa ukanda.

Ikabidi ofisi ya CE ambaye hafungamani na upande wowote ule. Iteue jasusi mmoja kwenda kuchunguza. Ilitakiwa arudi na majibu kuna jambo gani limejiri mpaka kutokea yale. Hapo ndiyo mapya yaliibuka usaliti ndani ya shirika ukihusika, pia uwepo wa kisasi ukachangia kutokea mauaji yale.

Mpasuko