Mhuni

ebook

By Hassan Mambosasa

cover image of Mhuni

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Download Libby on the App Store Download Libby on Google Play

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Library Name Distance
Loading...

Hali ya hatari iliyobidi watu kujihadhari, waliponasa habari kwamba hali si hali. Bara zima la Afrika lilikaribia kuingiwa na janga la kulipuliwa. Yakiwa ni mabomu ya maangamizi, ambayo yangekuja kufanya kuwe na historia mbaya kuliko ile ya Hiroshima nchini Japan.

Ikabidi umoja wa Afrika waandae majasusi watatu wa kuaminika. Pia jukumu hilo lipewe kwa mmoja wa viongozi wakubwa wa shirika la ujasusi Afrika ya mashariki (EASA) kwenda kusimamia kazi hiyo. Aliyotakiwa kuwaongoza vijana warudi na ushindi.

Operesheni iliyowabidi watu waende nchi yenye baridi kali. Wabadili majina yao na hata namna nyingine ya kutambulika, waishi kwa kufuata itifaki maalum. Wakae mahali wasipowahi kuishi, wakisubiri kufanya harakati yao kwa hatua iliyofuata. Ndiyo ikaja kukomboa bara zima baada ya kuhangaika sana, ikibidi hata kuhama nchi nyingine

Mhuni