Gadi 2

ebook

By Hassan Mambosasa

cover image of Gadi 2

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Download Libby on the App Store Download Libby on Google Play

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Library Name Distance
Loading...

Usalama wa maisha ya binti wa kitanzania unakuwa rehani. Aliingia kwenye mgogoro mkubwa kisa kugoma kuwa mpenzi wa kijana wa kimarekani, sababu aliolewa na mwenye familia nyumbani kwake.

Mzozo ambao unazaa chuki kubwa, iliyotokana na wivu kisa alionekana na mwanaume mwingine. Kijana akafikia kumfanyia vurugu, asijue mtu huyo hakuwa wa kawaida bali ni Gadi.

Alipoachiliwa kwa rushwa, alijeruhiwa vibaya na gadi alichukuliwa akawekwa ndani. Ila akaja kuachiwa ilipobainika hujuma iliyofanyika, iliyoongozwa na mzazi wa kijana yule. Aliyeishia kuapa kumuua binti kulipia kisasi kuumizwa kijana wake.

Mwishowe linaagizwa genge la watu wenye silaha, wanaokuja kuingia kwenye treni ambayo binti. Inakuwa ni patashika nguo kuchanika, mapambano yanazuka huku chombo kikiwa njiani kwa kasi kubwa.

Gadi 2