Sign up to save your library
With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.
Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Search for a digital library with this title
Title found at these libraries:
Library Name | Distance |
---|---|
Loading... |
Veronica Mwalasisi, binti wa kitanzania anayesoma nchini Marekani, anajikuta matatani baada ya kupata ajali. Iliyotokea baada ya kufanyiwa akiendesha gari na kijana wa kutokea familia ya inayohusika na uhalifu.
Ajali ile licha ya kumuumiza, pia iliondoka na maisha ya kijana yule kwa bahati mbaya. Suala linalozua hofu sababu mzazi wake alisifika kwa ukatili, asiyejua kama mtoto wake alikosea au la.
Binti ilimbidi aondolewe Marekani, ndugu zake waliamua aondoke kwa meli. Ila aliishia kuingiwa na ukaidi, akaenda kinyume na maagizo yao. Kwa kupanda nyingine tofauti aliyoandaliwa. Asijue meli si salama, na ingeweza kusababisha mauti yake.
Salama yake ikawa ni kuagizwa Gadi, ambaye alipaswa kumsindikiza. Huyo ndiye pekee alibeba tumaini la wote. Ila bado alikuja kumfanyia vitimbi, kisa alihisi alimbana. Matokeo alihatarisha kazi ya mlinzi wake, aliyemwona hafai kumbe ndiye salama kuwa naye.