Utazitapika

ebook

By Hassan Mambosasa

cover image of Utazitapika

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Download Libby on the App Store Download Libby on Google Play

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Library Name Distance
Loading...

Wizi mkubwa unafanyika, serikali inajikuta ikituma kimakosa mamilioni ya dola kwenda akaunti tofauti. Pesa ambazo zilitakiwa kulipwa mkandarasi, ajabu akaunti wanakuta tofauti ikimaanisha aliyeandaa hati ile ya malipo ndiye mwenye makosa.

Mkandarasi naye anacharuka akitoa majuma mawili alipwe, bila hivyo watakuwa wamevunja mkataba na angewaburuza mahakamani kudai fidia na kazi asifanye.


Majuma hayohayo maafisa usalama wanaamua kuweka kikao. Wanaazimia kumteua mpelelezi mmoja ambaye atahitajika kurudisha pesa na pia kuja na majibu kamili juu ya sakata hilo. Bahati inakuja kumwangukia Norbert, aliyechunguza na kuibua mapya.
Usaliti, uhaini, utapeli vyote viliibuliwa. Serikali ilizungukwa na bado ilikaribia kuingizwa ndani ya hasara kubwa.

Utazitapika