Ukomo

ebook

By Hassan Mambosasa

cover image of Ukomo

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Download Libby on the App Store Download Libby on Google Play

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Library Name Distance
Loading...


Maisha ya Eliza yanaingia mashakani, baada ya kuhisiwa ana mahusiano na bosi wake. Anasakwa kila kona na mzazi mwenza wa bosi, aliye na kawaida ya kumfanyia unyama kila mwanamke aliye karibu na mwanaume yule. Asijali kama waliachana na hatakiwi.

Woga wa kuhisi angeondolewa uhai, sambamba na hamu ya kutaka kupambania maisha yake. vinafikisha hofu yake kwenye ukomo, badala ya kuogopa inageuka kuwa ukatili. Aliyotakiwa kuwawinda inabadilika yeye ndiye anayewawinda, tena kimya bila sauti tena kwa kuvizia kama chatu. Mwishowe inageuka mshike damu inamwagwa bila huruma.

Norbert Kaila naye aliyekuwa akifanya kazi kuchunguza uovu wa mzazi mwenza wa bosi wa Eliza. Alijikuta akipewa jukumu jingine, akitakiwa kuhakikisha binti anabaki salama. EASA walimhitaji kwa kuona upeo wake na ujasiri ule.


Ni UKOMO

Ukomo