Fadhaa

ebook

By Hassan Mambosasa

cover image of Fadhaa

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Download Libby on the App Store Download Libby on Google Play

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Library Name Distance
Loading...

Kiburi si uungwana, bilionea maarufu sana aliona eneo ambalo alilitamani sana kulitumia. Akipanga kujenga uwanja kwa ajili ya timu anayoimiliki, kusudi iendane jina lake na makao yake yalipo.

Hapo ndiyo tamaa ilipomwingia kwa kuliona shamba kubwa, ambalo halikuendelezwa na kujengwa nyumba za kisasa, licha ya mji kutanuka. Kukabaki kuwa vilevile, katikati yake kukiwa na mti mkubwa sana.. eneo ambalo lilimfaa hasa kujengea uwanja wa kisasa wa timu, sababu lipo mahali pazuri.

Alijaribu njia ya kawaida ya kutaka auziwe, ila wamiliki waligoma na kumwambia halitakiwi kuuzwa. Ulikuwa urithi toka enzi, ikitakiwa kubakishwa hivyo kwa vizazi hadi vizazi. Pia wakitakiwa kuumwagia mji mti mkubwa kila atakayesimamia.

Utamwambia nini mwenye mambo ya kisasa kuhusu mila? Ndiyo hapo bilionea akatafuta watu ambao waliamua kutumia mbinu chafu kulipata eneo hilo. Wakaishia kuukata mti ule na kujenga uwanja wa kisasa. Ila baadaye walikuja kujuta na kutamani muda urudi nyuma

Fadhaa