Sign up to save your library
With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.
Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Search for a digital library with this title
Title found at these libraries:
Library Name | Distance |
---|---|
Loading... |
Baada ya kufanya kazi ya kwenye kisa cha TARISHI kwa mafanikio mkubwa, matatizo hayakuisha yote. Sababu bado kuna pandikizi kubwa lilibaki, ambalo liliapa lazima lingekuja kulipa kisasi kwa yaliyotokea. Hata kama ABK na Simpson walinyongwa haikuwa mwisho.
Ndiyo hapo inabainika kuna mpango hatari sana na kama ungefanikiwa basi dunia nzima ingeingia kwenye migogoro. Hasa mtaifa mengi kuwa na chuki na Marekani na Israel. Yote hayo yalianzia kwenye kutaniko lililosuka mpango mzima. Lililofanyika ukanda wa Gaza nchini Palestina. Wanausalama wakaja kuambulia namba za tiketi za watu ambao walitoka Gaza kwenda nchi nyingine na wangeingia Ramallah kupitia uwanja wa ndege ambao upo karibu na mji huo.
Ikawa ni mwanzo wa kuwafutilia wale wa Kutoka Gaza harakati ambayo ilijawa na upelelezi na michezo mingine ya kuviziana. Mwishowe majasusi walikuja kufanikiwa kazi hiyo.