Sign up to save your library
With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.
Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Search for a digital library with this title
Title found at these libraries:
Library Name | Distance |
---|---|
Loading... |
Sinaye Baba ni diwani yenye mashairi ya kimapokeo yaliyobeba sauti ya kilio cha kundi la watu walio- kosa malezi kutoka kwa wazazi. Sauti hizo zilizojaa jitimai, zinaonesha ni kwa namna gani kukosa malezi kunavyoweza kuathiri jamii kwa kuifanya ipotoke zaidi. Hivyo diwani hii inamfungua macho msomaji, ili aweze kuona ni kwa namna gani malezi ni jukumu la jamii nzima. Diwani hii haijaacha kitu kwani imebeba masuala mbalimbali katika jamii, burudani, siasa na uchumi.|Sinaye Baba ni diwani yenye mashairi ya kimapokeo yaliyobeba sauti ya kilio cha kundi la watu walio- kosa malezi kutoka kwa wazazi. Sauti hizo zilizojaa jitimai, zinaonesha ni kwa namna gani kukosa malezi kunavyoweza kuathiri jamii kwa kuifanya ipotoke zaidi. Hivyo diwani hii inamfungua macho msomaji, ili aweze kuona ni kwa namna gani malezi ni jukumu la jamii nzima. Diwani hii haijaacha kitu kwani imebeba masuala mbalimbali katika jamii, burudani, siasa na uchumi.