Sign up to save your library
With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.
Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Search for a digital library with this title
Title found at these libraries:
Library Name | Distance |
---|---|
Loading... |
Tanganyika ndilo lililokuwa jina la enzi za kale. ... Mnamo mwaka wa elfu moja mia kenda sitini na tatu, kukawa na ushikamano na upunge wa Zanzibar, Watanganyika wakajasema "tuungane na Wanzanzibari kwa nia ya tuwe kitu kimoja," basi jina Tanzania likajazalishwa – na hadi wa leo bado laendelea kuzalisha uungwana na upendo halisi.Wanaofahamu ukarimu wa kweli baada ya kudharauliwa na watu huwa kwa fahamu tele waelewa ukarimu wa Waswahili Watanzania.Wanaupendo mwingi na hekima, na ni nchi iliyojawa na dhamana ya adinasi kwa wenzio. Ukikosa, wanakudhamini, 'ukiteleza', wamo kando nawe, ukianguka maishani, wanakuinuia bila masharti ya kukuinua, na wakifanikiwa, wataka wafanikiwe pamoja nawe. Watu wenye ukarimu kweli wa kweli, kejeli hawana wala maringo, na hawajigambi kwa lolote lile.Kwa hayo yote, Tanzania pia ni nchi yenye urembo wa maandhari ya kuvutia na 'kuliwaza', jambo linalofanya iwe kwenye upeo Afrika Mashariki kama mahala ambapo papendeza zaidi adinasi waliodharalishwa.