Lowella Wake na Loweza za Wessley

ebook

By Kent James Migwi

cover image of Lowella Wake na Loweza za Wessley

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Download Libby on the App Store Download Libby on Google Play

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Library Name Distance
Loading...

Mapenzi ni kama kio, analolifanya na kukupa mpenzi wako unaliona. Swala la penzi lazungusha wanaume wengi na sononeko kwenye 'duara hili la maisha', mapenzi yanarun dunia sio siri, ilhali sii kwa urongo kuwa unayempenda hakupendi mwenzio, labda kapenda mwingine kisirisiri. Kinacho sikitisha ni kuwa, baadaye – baada ya kumpa mpezio upendo wa dhati bila 'kumdharalisha na mwanadada mwingine' wala kutompa heshima visivyo kwenye aushi ya haya mapenzi, aja kukuoyesha mwishowe kwa ringo kuwa anampenda kwa dhati anayempenda ila sio wewe uliye dhania kapendwa tele kweli-kweli.Ajuae upendo ni yule aliyependwa na mmoja wakati wengi wote walimdharau, Akidharauliwa basi na huyo mmoja, mambo yote karibu huwa yaja kusambaratika kutoka pembe zote za maisha kisha yubaki yumo pekee yake duniani. Maulana pekee ndiye Aweza 'kumwokoa heri'.

Lowella Wake na Loweza za Wessley