Sign up to save your library
With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.
Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

Search for a digital library with this title
Title found at these libraries:
Library Name | Distance |
---|---|
Loading... |
Hatima ya dunia nzima ipo chini ya binti wa shule ya sekondari, mwenye nasaba hatari sana iliyoandaliwa kwa ajili ya uangamizaji ulimwengu mzima. Kukataa kwake kuhusika na harakati hizo ndiyo pona ya kila mmoja. Msimamo wake wa kutotaka kuongoza jamii isiyofaa, unahitajika hasa.
Bado jamii ile chini ya kiongozi wao haitaki kuona mwenye nasaba ya malkia wao, anakuja kuacha kuongoza wao na kuuweka ulimwengu chini yao. Wanaamua kila njia ya kufanikisha mpango wao, napo wasiyotaka hila wanapambana vya kutosha wakimchomoa binti asichukuliwe kwenda kwao. Matokeo ni kuviziana kusipoisha, kulipoanza karne iliyopita.