Jino Kwa Jino

ebook

By Mambosasa

cover image of Jino Kwa Jino

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today
Libby_app_icon.svg

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

app-store-button-en.svg play-store-badge-en.svg
LibbyDevices.png

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Loading...

Baada ya kupigwa kisa kumtukana mzazi wa mwenzake, binti kutoka familia ya kitajiri aliamua kutunga uongo kuharibu maisha ya mwenzake. Hakuishia hapo tu, alipelekea asimamishwe shule, huku wakishirikiana na binamu yake kwenda kumfanyia fujo yeye na mzazi wake. Mwisho wake wanapigwa na kudanganya kwao, mpaka binti yule alitekwa kwa kushirikisha nguvu za wazazi wao.
Habari inakuja ni baada ya binti kupatikana, baba yake ambaye alikuwa mmoja wa majasusi wazalendo wa muda mrefu aliyeamua kukaa kimya. Aliamua kulipa kisasi. Ndiyo hapo wazazi wale na watu wengine walipojua mtu huyo hakuna anayeweza kumdhibiti, hata kiongozi wa nchi mwenyewe hana uwezo huo.
EASA wenyewe walikaa kando na kumtuma Norbert Kaila akaonane naye mara moja tu azungumze naye kiamani asifikie pabaya. Ila napo jasusi yule alipokutana naye, alimtambua kama ni mwalimu wake aliyemfanya kuwa jasusi bora. Mwenyewe alikiri hakuna mwanausalama yeyote mwenye uwezo wa kumzuia. Aliishia kukaa kando, akitazama mwisho wake utakuwa vipi.

Jino Kwa Jino